Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mpenzi na mnazi wa Man U.Wasiwasi wangu ni kwamba Lukaku akiumia nani atacheza mbele peke yake kwa mtindo huu wa Mourinho?Rooney,Zlatan walikuwa wanaweza.
Msije mkamchukia badae.Sawa sawa naona unapenda kutumia mfano wa mke wakati Matic tayari kasaidia timu yake kupata goli 4 na pointi 3
Biashara mapema jioni mahesabu/kula faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nini kiongozi hatujui Mfano leo Azam kacheza na Viper ya Uganda,Simba jana kashinda goli moja,Yanga kamchapa Mlandege 2,Siasa Sipendi sana ila nasikia Shamba lingine la Sumaye limepigwa juu kwa juu,Mahindi yanalimwa Iringa sana(Isimani) hata kwa jirani pale Uhuru Kanasa Odinga,Kagame kashinda Ushindi wa kishindoKumbe konte anachetj Ubunyu mpaka huku? Watanzania tunajua kila kitu isipokuwa vya kwetu.
Ukiwa mshabiki wa mpira ukishinda shangilia sidhani siku chelsea wanakula vyuma vitatu kama ulifurahi.
Tatizo man u.mnaongea sana.arsenal kashinda.ila kanyamaza kimya.ila ninyi bhana.mnatusumbua kweliUkiwa mshabiki wa mpira ukishinda shangilia sidhani siku chelsea wanakula vyuma vitatu kama ulifurahi.
Tuache tushangalie Kiongozi ikitokea tumechenjuliwa japo ni ngumu basi...
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna kitu kama hicho.refa mawenge yule.cahill hajakusudia.kadi ya njano ya fab4 ya kwanza ni sababu alipiga makofi.ya pili alimuingilia mtu vibaya.luiz alivurugwa sababu ya kadi ya cahill,timu ingekuwa na mgogoro.hata zile goli 2 tusingepata.Inawezekana kuna kamgomo baridi Chelsea aisee , maana wachezaji wanazitafuta kadi nyekundu maksudi. Mara Pedro kamkwatua mtu , Mara Cahill mara Fabrigas du, this is too much , something behind. Ule mchezo hata Luis alikuwa anatafuta kadi nyekundu pia ila baadae alitulia.
Ushindi mechi moja tu, kelele zimeshaanza.Kwa wale wanaoijua EPL ifikapo Desemba ndo walau huanza kubwata.Unaongelea Matic je ushamuona Bakayoko?,All in all ni mapema mnooooo kuanza kujisifia ubora wa timu zebu.Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.
Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.
Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,
Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.
Angalia baba Jipange kisawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama costa analeta maringo.utamlazimisha?mwache aende.sio mungu yule.morata anafaa.hata timu ifungwe vipi siwezi kumlaumu conte kwa ajili ya costa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi mechi moja tu, kelele zimeshaanza.Kwa wale wanaoijua EPL ifikapo Desemba ndo walau huanza kubwata.Unaongelea Matic je ushamuona Bakayoko?,All in all ni mapema mnooooo kuanza kujisifia ubora wa timu zebu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbukumbu zangu zinaniambia, kwa msimu mzima uliopita hilo gari la mkaa zaidi ya kubaidilisha Oil na oil filter halijawahi hata kuguswa rejeta.Hizo mbwembwe za mwanzo wa msimu hazinipi shida.matic gari la mkaa.trip moja shamba,ya pili gereji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja huyo kocha wako aanze kumuingiza dk 65 halafu aje amtoe dk 76 ndio utajua uzuri wa huyo unayemsifia.Bakayoko yule aliyetoa boko akasababisha Monaco walale 2-0 nyumbani, au sio huyu?
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.
Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.
Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,
Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.
Angalia baba Jipange kisawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Costa alianza kupoteza morari na timu toka dec so asepe tu kikubwa tunahitaji kikosi kipana ila costa ujinga wake wa kuona anajua ndio shidaSasa kama costa analeta maringo.utamlazimisha?mwache aende.sio mungu yule.morata anafaa.hata timu ifungwe vipi siwezi kumlaumu conte kwa ajili ya costa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama anaupenda ugali wake baba awe makini hatutachelewa kumwona na mabegi airport.
Sent using Jamii Forums mobile app