Antonio Miguel Mateu Lahoz; Refa wa Kadi.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kombe la Dunia mbali ya ushindani na burudani kuna suala la rekodi pia linapiganiwa. Ronaldo analilia apewe goli badala ya Fernandes ili avunje rekodi. Messi kafunga goli la 10 anatafuta rekodi pia. Neimar Jr goli lake la Jana ni la 77 Kwa timu ya Taifa anatafuta kuvunja rekodi ya Gwiji wa Soka wa nchi yake na dunia Pele mwenye magoli 77 pia.
Si Wachezaji tu wanaotafuta kuvunja rekodi, tunaona hata mashabiki wanakiuka masharti ya Waandazi ili kuonekana wamefanya kitu Fulani exceptional.
Mada yangu hapa inamhusu Refa mhispania, aliyeanza kazi ya uamzi wa kulipwa mwaka 2008. Huyu ni Mwamba Antonio Miguel Mateu Lahoz. Jabali wa Kadi Tangu akiwa La Liga na UEFA. Lakini Kwa Mechi ya Jana ya Robo fainali Kati ya Uholanzi na Argentina kaweka rekodi ya mashindano kuhusu utoaji wa Kadi. Jana tu kwenye Mechi moja Mwamba katoa Kadi 16 za njano na moja nyekundu.
Yawekena Ramadhan Kayoko huyu ndo Mentor wake?
 
Hiyo siku nilimtukania sana rohoni

Alinikwaza sana, aliwabeba Totten kama watoto
 
Refa mpuuzi yule. Anatafuta kusababisha watu wasicheze mechi ya nusu fainali. Ninaamini bado ile sheria ya kufuta kadi za njano kwenye fainali inatumika.
 
Unakumbuka ile siku Antonio alivyoniboaaaa
Mpk mtu akaanza kujihisi ye ndo Refa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lenie
Watu wakajipa urefa bila sababu za msingiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ah ni muda umepitaa, ila mwaka huu

Alichezesha mechi flani ya chelsea na Tspurs,, sikumbuki ilikuwa UEFA or EPL..

Aliwabeba sana Tspurs
Kumbe mkiangaliaga mpira ndio mnakua mmetulia hivi kama mnaskiliza madini gani sijui

Timu ya Ronaldo imefungwa, naangalia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…