Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kombe la Dunia mbali ya ushindani na burudani kuna suala la rekodi pia linapiganiwa. Ronaldo analilia apewe goli badala ya Fernandes ili avunje rekodi. Messi kafunga goli la 10 anatafuta rekodi pia. Neimar Jr goli lake la Jana ni la 77 Kwa timu ya Taifa anatafuta kuvunja rekodi ya Gwiji wa Soka wa nchi yake na dunia Pele mwenye magoli 77 pia.
Si Wachezaji tu wanaotafuta kuvunja rekodi, tunaona hata mashabiki wanakiuka masharti ya Waandazi ili kuonekana wamefanya kitu Fulani exceptional.
Mada yangu hapa inamhusu Refa mhispania, aliyeanza kazi ya uamzi wa kulipwa mwaka 2008. Huyu ni Mwamba Antonio Miguel Mateu Lahoz. Jabali wa Kadi Tangu akiwa La Liga na UEFA. Lakini Kwa Mechi ya Jana ya Robo fainali Kati ya Uholanzi na Argentina kaweka rekodi ya mashindano kuhusu utoaji wa Kadi. Jana tu kwenye Mechi moja Mwamba katoa Kadi 16 za njano na moja nyekundu.
Yawekena Ramadhan Kayoko huyu ndo Mentor wake?