Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

Ni maukule kweli kweli...hajakosea! Kayataka mwenyewe...
 
Tena dozi na nongwa za Haji Manara ndo kwanza zimeanza
Tena mkae kwa kutulia
 
Tena dozi na nongwa za Haji Manara ndo kwanza zimeanza
Tena mkae kwa kutulia

Wakati nyie mkijivunia nongwa za Msukule Manara (in Nugaz voice) sisi Simba tunajivunia kutwaa makombe back to back na safari hii tunachukua mara ya tano mfululizo.Kupanga ni kuchagua,kila mtu atakula alikopeleka mboga.
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe nyie makolo
 
Mnatafuta pa kutokea hayo makolo kolo hayooo hovyo kabisa.
 
GSM yy ni kupiga hela, Hana habari na hilo litimu. Liboronge lisiboronge hana shida.

Jezi sh 35,000 lkn MISUKULE SC wanaambulia sh 1,300.

Nionyeshe Utopolo hata mmoja mwenye akili. Hakuna.
 
Nugaz arudi Simba akufungue matawi huko kama ilivyokuwa mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…