Tetesi: Antonio Nugaz analipwa zaidi Clouds Fm

hii hutokea endapo unafanya kitu cha ziada kwenye kituo, mfano Nugaz hayuko busy sana kwenye kuendesha kipindi chake pia ni PM Kule Choice fm, mshahara wake unawez kuwa hata laki9 take home, but utakuta analeta dili ntingi sana za matangazo+anafanya sauti kwenye matangazo mengi hiyo inapelekea kwa mwezi apokee hata milioni3 mpaka4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…