Tetesi: Antonio Nugaz analipwa zaidi Clouds Fm

Tetesi: Antonio Nugaz analipwa zaidi Clouds Fm

Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group.

Lakini hii inaleta tafsiri kuwa kuna kitu zaidi ya umaarufu kinachozingatiwa katika media, kuna wanaoajiriwa kutokana na CV zao na wengine kutokana na vipaji vyao.
hii hutokea endapo unafanya kitu cha ziada kwenye kituo, mfano Nugaz hayuko busy sana kwenye kuendesha kipindi chake pia ni PM Kule Choice fm, mshahara wake unawez kuwa hata laki9 take home, but utakuta analeta dili ntingi sana za matangazo+anafanya sauti kwenye matangazo mengi hiyo inapelekea kwa mwezi apokee hata milioni3 mpaka4
 
Back
Top Bottom