Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

Gadner ni mwishooo

Lile la nandy kauwa sanaaa mulee

"Wanamuziki mademuuu,ma dj mademuuu,mabaucer nao full ngongingo mademuuu""
Mademu over here, mademu over there!

Ila antonio nugaz nae yupo fiti sana
 
Aaah wale ni Maarifa the Big Thinker msanii wa Madee alietoa ngoma na Janjaroo juzi hapa inaitwa Acha iwe,,Alaf yule mwingine wa 'Bundle imenona sijui imelishwa nini'anaitwa Black MC alishinda Freestyle Buttle kwenye Open Mic.
Duh! Bro tangazo nalikubali sana lile
 
Mmesikia haya matangazo ya simba na yanga kuelekea simba day na week ya wananchi ....? Nugaz ni nyoko
Waaapeee salam wapate salam majiran.....................
 

Captain usimlinganishe na Antonio Nugaz, kila mtu ana eneo lake la kujidai, Antonio Nugaz hafanyi matangazo ya Burudani sana ambayo Gardner ndio mahala pake, Mwihava ni mtaalamu sana wa Classified matangazo ya kusoma sio kama ya kina Captain na Nugaz, so yuko kivyake labda umuweke na akina John Jackson, Sophia Kessy na Jacqueline Kombe
 
Gadna hatarii sana yule jamaa

Mimi nataka kuwajua wale jamaa walio rap lile tangazo la halotel..wanajua sana wale
Mmoja ni maarifa toka MMB manzese chini ya madee anangoma yake kali sana yuko na dogo janja inaitwa acha iwe
 
Nilimkubali sana gadner fiesta iliyopita..hadi rey mshana kuna kipande kamuiga kwenye wasafi festival ya sasa
 
Khaa.!!Lini tena mkuu?Wasafi Media wamechukua dhahabu trust me..anafanya pindi gani pale au yupo kwenye production??

ni muda kidogo kama miezi mitatu hivi, yupo kwenye production bablai, anatengeneza matangazo tu kwa sasa
 
Gadner ni mwishooo

Lile la nandy kauwa sanaaa mulee

"Wanamuziki mademuuu,ma dj mademuuu,mabaucer nao full ngongingo mademuuu""
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sijabahatika kulisikia hili tangazo lkn limenifurahisha Sana...na ule utangazaji wa G ..daah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…