Antonio Nugaz na ushauri toka kwa wake zake

Antonio Nugaz na ushauri toka kwa wake zake

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Huyu jamaa kwenye nyundo za Baruan Mhuza kasema anapoenda kufanya kitu au kuongea kwenye media lazima awashirikishe wake zake na kumshauri nini anaenda kusema. Baruan akamwuliza: Je, wake zako wanajua mambo ya branding and football? Jamaa akajibu "Yes mke wangu mkubwa anajua sana football"

Huyu jamaa ni kichekesho naona fani ya mpira kavamia.

Nugaz.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaoshauriwa na wake zao Wako wengi tu, tena wengine wanashauriwa katika mambo makubwa, muhimu na nyeti zaidi ya hayo ya branding.

Hakuna ubaya katika kushauriwa na mke, tena hili ni jambo jema. Ila kitu kibaya ni KUUPOKEA USHAURI MBAYA NA KUUFANYIA KAZI (na hili huwa halijalishi ni nani amekushauri)
 
KOCHA WA YANGA AZUA TAARUKI TANGA

Kocha Luc Eymael wa Yanga amesema wakati huu wakiwa Tanga kikosi chake badala ya kuboreka kinaendelea kushuka maana kuna wachezaji hawaeleweki kabisa leo hivi kesho vile.

Amesema mpaka sasa wachezaji wanaofaa kucheza Yanga wapo watano tu wengine ndio hivyo tunafanyaje ila hakuna namna na wa uhakika kati ya hao Watano ni hawa Bernard Morrison na Haruna Niyonzima tu.

Huwezi kushinda makombe ukiwa na timu namna hii na kila kiongozi anasema lake, sikutegemea kabla sijafika hapa kukuta Yanga iko hivi tofauti na inavyosemwa huko nje kila kitu hakuna mpaka kupush kipatikane nafanya kazi zisizo zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni washauri wazuri mno mkuu, kama uliwadharau nakuwaona si lolote basi ondoa hiyo fikra kuanzi mda huu
jiulize hata katika familia kwanin watoto hufuata zaidi ushauri wa mama kuliko wa baba?

Nadhani utapata concept.
 
Watu wanaoshauriwa na wake zao Wako wengi tu, tena wengine wanashauriwa katika mambo makubwa, muhimu na nyeti zaidi ya hayo ya branding. Hakuna ubaya katika kushauriwa na mke, tena hili ni jambo jema.

Ila kitu kibaya ni KUUPOKEA USHAURI MBAYA NA KUUFANYIA KAZI (na hili huwa halijalishi ni nani amekushauri)
Kama makabila kashauri na demu wake TU kajibadil kuwa mwanamke kabisa sembuse Antonio nugaz kuhusu branding

kilicho akilini kitumie
 
Kuna wanawake wana akili kuliko unavyodhani.Ndio maana Mo ashawahi kusema anaichikulia simba kama mke wake.

Unadhani kwa nini mke wa mshauri mkuu wa bodi ya wakurugenzi wa simba ndugu Bashite amezuiliwa yeye na mke wake kwenda Marekani? Kwa sababu mke anawajibu wa kumshauri mume yaliyo mema hasa katika uongeaji na hekima ukiwa hadharani.

Kwa hiyo wewe ndo ujiulize mara 6 kati yake na wewe nani bado mbuMbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake ni washauri muhimu kwenye ngazi ya familia, watoto na ustawi bimnafsi wa familia, lakini kwenye kazi proffesional hawafai, sasa hao wake zake na mpira wapi na wapi?
 
KOCHA WA YANGA AZUA TAARUKI TANGA.

Kocha Luc Eymael wa Yanga amesema wakati huu wakiwa Tanga kikosi chake badala ya kuboreka kinaendelea kushuka maana kuna wachezaji hawaeleweki kabisa leo hivi kesho vile.

Amesema mpaka sasa Wachezaji wanaofaa kucheza Yanga Wapo Watano tu wengine ndio hivyo tunafanyaje ila hakuna namna na wa uhakika kati ya hao Watano ni hawa Bernard Morrison na Haruna Niyonzima tu.

Huwezi kushinda makombe ukiwa na Timu namna hii na kila kiongozi anasema lake, Sikutegemea kabla sijafika hapa kukuta Yanga iko hivi tofauti na inavyosemwa huko nje kila kitu hakuna mpaka kupush kipatikane nafanya kazi zisizo zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mwinyi Zahera yanajirudia siku zote wasema kweli huchukiwa nae atachukiwa Kama Zahera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaoshauriwa na wake zao Wako wengi tu, tena wengine wanashauriwa katika mambo makubwa, muhimu na nyeti zaidi ya hayo ya branding.
Hakuna ubaya katika kushauriwa na mke, tena hili ni jambo jema.

Ila kitu kibaya ni KUUPOKEA USHAURI MBAYA NA KUUFANYIA KAZI (na hili huwa halijalishi ni nani amekushauri)

Mwanaume yeyote mwenye mawazo ya quality ndogo na ya mkewe ni superior kuliko yake at any point,mpaka mizani inachukua mawazo ya mkewe katika quality weight, basi huyu mwanaume atakua kuna mahala anakosea!
 
Huyu jamaa kwenye nyundo za Baruan Mhuza kasema anapoenda kufanya kitu au kuongea kwenye media lazima awashirikishe wake zake na kumshauri nini anaenda kusema " Baruan akamwuliza ,Je wake zako wanajua mambo ya branding and football? Jamaa akajibu "Yes mke wangu mkubwa anajua sana football ."

Huyu jamaa ni kichekesho naona fani ya mpira kavamia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kushauriwa ni kitu kimoja. Kufanyia kazi ushauri ni kitu kingine.

Kuchuja ushauri na kugundua pumba ziko wapi ni akili ya mtu binafsi.

Unaweza kushauriwa na mbuzi ukapata la maana. Ukashauriwa na Mfalme ikaws pumba.
 
Mwanaume yeyote mwenye mawazo ya quality ndogo na ya mkewe ni superior kuliko yake at any point,mpaka mizani inachukua mawazo ya mkewe katika quality weight,basi huyu mwanaume atakua kuna mahala anakosea!

Mkuu, kwani wewe huwezi kushauriwa na mwanamke kwa jambo lolote?
 
Back
Top Bottom