Kama makabila kashauri na demu wake TU kajibadil kuwa mwanamke kabisa sembuse Antonio nugaz kuhusu brandingWatu wanaoshauriwa na wake zao Wako wengi tu, tena wengine wanashauriwa katika mambo makubwa, muhimu na nyeti zaidi ya hayo ya branding. Hakuna ubaya katika kushauriwa na mke, tena hili ni jambo jema.
Ila kitu kibaya ni KUUPOKEA USHAURI MBAYA NA KUUFANYIA KAZI (na hili huwa halijalishi ni nani amekushauri)
Ya Mwinyi Zahera yanajirudia siku zote wasema kweli huchukiwa nae atachukiwa Kama ZaheraKOCHA WA YANGA AZUA TAARUKI TANGA.
Kocha Luc Eymael wa Yanga amesema wakati huu wakiwa Tanga kikosi chake badala ya kuboreka kinaendelea kushuka maana kuna wachezaji hawaeleweki kabisa leo hivi kesho vile.
Amesema mpaka sasa Wachezaji wanaofaa kucheza Yanga Wapo Watano tu wengine ndio hivyo tunafanyaje ila hakuna namna na wa uhakika kati ya hao Watano ni hawa Bernard Morrison na Haruna Niyonzima tu.
Huwezi kushinda makombe ukiwa na Timu namna hii na kila kiongozi anasema lake, Sikutegemea kabla sijafika hapa kukuta Yanga iko hivi tofauti na inavyosemwa huko nje kila kitu hakuna mpaka kupush kipatikane nafanya kazi zisizo zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaoshauriwa na wake zao Wako wengi tu, tena wengine wanashauriwa katika mambo makubwa, muhimu na nyeti zaidi ya hayo ya branding.
Hakuna ubaya katika kushauriwa na mke, tena hili ni jambo jema.
Ila kitu kibaya ni KUUPOKEA USHAURI MBAYA NA KUUFANYIA KAZI (na hili huwa halijalishi ni nani amekushauri)
Kushauriwa ni kitu kimoja. Kufanyia kazi ushauri ni kitu kingine.Huyu jamaa kwenye nyundo za Baruan Mhuza kasema anapoenda kufanya kitu au kuongea kwenye media lazima awashirikishe wake zake na kumshauri nini anaenda kusema " Baruan akamwuliza ,Je wake zako wanajua mambo ya branding and football? Jamaa akajibu "Yes mke wangu mkubwa anajua sana football ."
Huyu jamaa ni kichekesho naona fani ya mpira kavamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume yeyote mwenye mawazo ya quality ndogo na ya mkewe ni superior kuliko yake at any point,mpaka mizani inachukua mawazo ya mkewe katika quality weight,basi huyu mwanaume atakua kuna mahala anakosea!