Antony Conte ahusishwa na kufundisha Arsenal

Antony Conte ahusishwa na kufundisha Arsenal

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .

Ngoja tuendelee kusubiri .
 
Arteta Ni mkuda tu na club yenyewe Ni hovyo tu fungu la kusajili Ni bila bila huku wakitegemea miujiza.
 
Conte aliondoka Inter Milan baada ya kutokubaliana na mapendekezo ya usajili, kwa aina ya usajili wa Conte sidhani kama ataenda sababu wachezaji wengi wa Arsenal ni wa kawaida wakati Conte anahitaji wapambanaji.
Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
 
Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
wengi tu ndio maana kina Lukaku na yule beki mwingine waliuzwa PSG pesa nyingi na pale ndipo ugomvi ulipoanzia baada ya uongozi kumweleza wanataka kuuza hao mastaa ili wabalance vitabu wakati yeye hesabu yake ilikuwa klabu bingwa ulaya.
 
Arsenal is my team ila ni nyanya sana mamaeee, swap ya Auba vs Couthino haijakaa sawa kabisa, ni manyokanyoka hadi nachukia
Auba siku hizi mzururaji tu uwanjani. Mara ya mwisho kuwa mchezaji ilikuwa wakati ule anasaka mkataba.
 
Back
Top Bottom