Antony Conte ahusishwa na kufundisha Arsenal

Antony Conte ahusishwa na kufundisha Arsenal

Conte hata spurs kawakataa..jeuri
. arsenal hawatamuweza
Kafanya vizuri kuikataa Spurs, sijui hata Mourinho nini kilimpeleka huko. Dani Levy anataka wachezaji wa kawaida sana tena walietwa kwa mkopo ili kuimarisha viwango vyao wampe makombe tena yale makubwa.
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .

Ngoja tuendelee kusubiri .
Vizuri
 
Kule yule jamaa aliye make bid kwa ajili ya kuinunua Arsenal anaitwa Daniel Ek, anaonekana akipata hii timu itafanya vizuri coz jamaa kabla ya Kutaka kuwekeza kwanza jamaa ni shabiki wa timu

Sidhani kama Josh&Stan kroenke ni mashabiki wa hii timu
Hawa josh& stana kroenke sijui wamewalisha nini maan kila njia watu wanayotaka kuichukuwa timu wanashindwa wanaleta mavikwazo mengi wakati usajili wanachungulia pumbafu sana hawa jamaa. Natukifanya mchezo tutakuwa wasindikizaji walai.
 
Mkuu bei za wachezaji wengi wa ulaya inategemea na umahiri wa Wakala tu
wachezaji pekee wanaouzwa bei mbaya kulinganisha na uwezo wao ni wachezaji wenye asili ya Uingereza kwingineko ubora unatawala . Yule beki mwenye asili ya morocco alipitia Borusia dortimund akauzwa Real madrid kabla hajachukuliwa Inter, Lukaku ameweza kuwa mfungaji bora kwenye ligi kama Italy ambao wanasifika kama ligi yenye mabeki wagumu pia alicheza Chelsea hakung'ara akaenda Everton akafanya vizuri akanunuliwa Man U hakung'ara hivyo kama Chelsea wamerudi tena kwake ina maana wameona kuna kitu bora kwake
 
Arsenal hawatamuweza Conte, yule huwa anataka finished articles, vile vimeo vya Arsenal anaweza kuvitema vyote asajili first eleven mpya, Spurz walimtaka wakamshindwa kwasababu ya mahitaji yake.
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .

Ngoja tuendelee kusubiri .
Afadhali...atawavuka kina chiesa ma locatelli maana arteta is finished
 
Hawa josh& stana kroenke sijui wamewalisha nini maan kila njia watu wanayotaka kuichukuwa timu wanashindwa wanaleta mavikwazo mengi wakati usajili wanachungulia pumbafu sana hawa jamaa. Natukifanya mchezo tutakuwa wasindikizaji walai.
Daaah mkuu yaani hawa jamaa wapo for profit only pale na hawana machungu na hii timu yetu
 
wachezaji pekee wanaouzwa bei mbaya kulinganisha na uwezo wao ni wachezaji wenye asili ya Uingereza kwingineko ubora unatawala .

Mkuu umewasahau wa faransa, wabrazil, Belgium, na West Africans, ogopa sana wachezaji wanaotaka maeneo haya ni rahisi mno kutapeliwa.
Na moja ya timu zinazoongoza kutapeli watu zikiwemo Fc Porto, Monaco, Pamoja na Ma agent kama Raiola na Mendez hawa ni hatari sana.
 
Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
Mkuu wachezaji wa inter wa kawaida?? kumbuka baada ya miaka mingi wao ndio wamemsimamisha Juve asibebe ubingwa.....

Ok Handanovic golin

Baston , stephen de vrij , milan Skriniar

Ericksen, Barrella, Brozovic, Arturo vidal, Hakimi

Lukaku, Lautaro Martinez (sanchez nje hapo)

Kilikuwa kikosi bora sana na chenye uzoefu mkubwa sana na spirit kali
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .

Ngoja tuendelee kusubiri .
Yaani natamani nilale kesho niamke iwe kweli.
Ila pamoja na yote tatizo kubwa la Arsenal, boss MBAHILI.
 
Back
Top Bottom