Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?Conte aliondoka Inter Milan baada ya kutokubaliana na mapendekezo ya usajili, kwa aina ya usajili wa Conte sidhani kama ataenda sababu wachezaji wengi wa Arsenal ni wa kawaida wakati Conte anahitaji wapambanaji.
wengi tu ndio maana kina Lukaku na yule beki mwingine waliuzwa PSG pesa nyingi na pale ndipo ugomvi ulipoanzia baada ya uongozi kumweleza wanataka kuuza hao mastaa ili wabalance vitabu wakati yeye hesabu yake ilikuwa klabu bingwa ulaya.Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
Achraf Hakimi, Lukaku na wengineo ambao waliuzwa na wengine kuwekwa sokoni ili kubalance hesabu za mishahara na hapo ndipo ugomvi wao na Conte ulipoanziaHivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
hawa mbona ni wachezaji wa kawaida tu !Achraf Hakimi, Lukaku na wengineo ambao waliuzwa na wengine kuwekwa sokoni ili kubalance hesabu za mishahara na hapo ndipo ugomvi wao na Conte ulipoanzia
wangekuwa wa kawaida wasingeuzwa bei mbaya fatilia mauzo yao ndio utaona kama walikuwa wa kawaida au daraja la juuhawa mbona ni wachezaji wa kawaida tu !
Achraf Hakimi kauzwa paund milioni 60 na ni beki wakati Lukaku kauzwa paund milion97.5hawa mbona ni wachezaji wa kawaida tu !
Mkuu bei za wachezaji wengi wa ulaya inategemea na umahiri wa Wakala tuAchraf Hakimi kauzwa paund milioni 60 na ni beki wakati Lukaku kauzwa paund milion97.5
Auba siku hizi mzururaji tu uwanjani. Mara ya mwisho kuwa mchezaji ilikuwa wakati ule anasaka mkataba.Arsenal is my team ila ni nyanya sana mamaeee, swap ya Auba vs Couthino haijakaa sawa kabisa, ni manyokanyoka hadi nachukia
Hii ndio akili ya ArtetaArsenal is my team ila ni nyanya sana mamaeee, swap ya Auba vs Couthino haijakaa sawa kabisa, ni manyokanyoka hadi nachukia
ila bado hakufikia kubalishana na galasa CotinhoAuba siku hizi mzururaji tu uwanjani. Mara ya mwisho kuwa mchezaji ilikuwa wakati ule anasaka mkataba.