permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kafanya vizuri kuikataa Spurs, sijui hata Mourinho nini kilimpeleka huko. Dani Levy anataka wachezaji wa kawaida sana tena walietwa kwa mkopo ili kuimarisha viwango vyao wampe makombe tena yale makubwa.Conte hata spurs kawakataa..jeuri
. arsenal hawatamuweza
Mwacheni huyo ni miongoni wa wale watu wanaojua wachezaji wazuri ni CR7 na L. Mesi tu basi.Achraf Hakimi kauzwa paund milioni 60 na ni beki wakati Lukaku kauzwa paund milion97.5
VizuriHii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .
Ngoja tuendelee kusubiri .
Hawa josh& stana kroenke sijui wamewalisha nini maan kila njia watu wanayotaka kuichukuwa timu wanashindwa wanaleta mavikwazo mengi wakati usajili wanachungulia pumbafu sana hawa jamaa. Natukifanya mchezo tutakuwa wasindikizaji walai.Kule yule jamaa aliye make bid kwa ajili ya kuinunua Arsenal anaitwa Daniel Ek, anaonekana akipata hii timu itafanya vizuri coz jamaa kabla ya Kutaka kuwekeza kwanza jamaa ni shabiki wa timu
Sidhani kama Josh&Stan kroenke ni mashabiki wa hii timu
wachezaji pekee wanaouzwa bei mbaya kulinganisha na uwezo wao ni wachezaji wenye asili ya Uingereza kwingineko ubora unatawala . Yule beki mwenye asili ya morocco alipitia Borusia dortimund akauzwa Real madrid kabla hajachukuliwa Inter, Lukaku ameweza kuwa mfungaji bora kwenye ligi kama Italy ambao wanasifika kama ligi yenye mabeki wagumu pia alicheza Chelsea hakung'ara akaenda Everton akafanya vizuri akanunuliwa Man U hakung'ara hivyo kama Chelsea wamerudi tena kwake ina maana wameona kuna kitu bora kwakeMkuu bei za wachezaji wengi wa ulaya inategemea na umahiri wa Wakala tu
Afadhali...atawavuka kina chiesa ma locatelli maana arteta is finishedHii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .
Ngoja tuendelee kusubiri .
Daaah mkuu yaani hawa jamaa wapo for profit only pale na hawana machungu na hii timu yetuHawa josh& stana kroenke sijui wamewalisha nini maan kila njia watu wanayotaka kuichukuwa timu wanashindwa wanaleta mavikwazo mengi wakati usajili wanachungulia pumbafu sana hawa jamaa. Natukifanya mchezo tutakuwa wasindikizaji walai.
Kabisaa sijui hata ni aina gani ya uchumi waliousomea kwakweliDaaah mkuu yaani hawa jamaa wapo for profit only pale na hawana machungu na hii timu yetu
wachezaji pekee wanaouzwa bei mbaya kulinganisha na uwezo wao ni wachezaji wenye asili ya Uingereza kwingineko ubora unatawala .
Si kweliMwacheni huyo ni miongoni wa wale watu wanaojua wachezaji wazuri ni CR7 na L. Mesi tu basi.
Mkuu wachezaji wa inter wa kawaida?? kumbuka baada ya miaka mingi wao ndio wamemsimamisha Juve asibebe ubingwa.....Hivi alipochukua ubingwa na Inter alikuwa na wachezaji gani wa maana ?
Yaani natamani nilale kesho niamke iwe kweli.Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte .
Ngoja tuendelee kusubiri .