Observer
JF HQ
- Oct 18, 2006
- 189
- 299
- Thread starter
- #21
Yeah katika wapinzani ambao Tyson aliwapata Evander ni mmoja wapo ila wale wakina Seldon ndio dizani kama huyu wa leo MalinaHapana bana...huwezi uka ignore quality of opponents.
Hata Tyson alipopigana na quality opponents alipata challenge.
Hivi uliona Tyson vs Holyfield?
Mtu unaingia ulingoni halafu hurushi ngumi unadhani utashindaje?
Afadhali mpambano ujao dhidi ya Klitschko.
Hopefully huo utakuwa mpambano kweli.
Mabondia ambao hawarushi ngumi ..hivi siku hizi hamna mabondia manunda huko?