Mimi nataka apigwe ili sisi wenye vitambi tuendelee kuwa na heshima huku mtaani,maana tumedharaulika sana.....
Mimi naamini AJ atashinda, it was just a bad day in the office
Dah..waarabu wana sifa kishenzi huo ulingo ni balaa!
Na iwe hivyo aseee itakuwa mbaya sana akipigwa yaani itakuwa ndio basi nani atataka kupigana na AJ tena?Mimi naamini AJ atashinda, it was just a bad day in the office
Mapambano atayapata, unajua jina lake linauza kuliko bondia yoyote (ukiondoa Canelo), sema thamani yake na legacy itakuwa imeshuka sana. Kila bondia Heavyweight anatamani apigane na AJ ndipo kwenye hela kwa sasaNa iwe hivyo aseee itakuwa mbaya sana akipigwa yaani itakuwa ndio basi nani atataka kupigana na AJ tena?
Hii ndo comment yako halafu unaniambia unajua ngumi kwahiyo mimi niliandika utumbo?Mimi nataka apigwe ili sisi wenye vitambi tuendelee kuwa na heshima huku mtaani,maana tumedharaulika sana.....
Yupo kama Mwakinyo?Hahaha...mimi nataka apigwe cause i see yuko overrated
Hiyo dude inayoitwa Wilder sio nzuri kwa afya ya mpinzani.Atakayeshinda kwenye pambano hili bila shaka atapigana na mshindi wa pambano la Fury/Wilder ili mmojawapo alambe mikanda yote 'undisputed'
Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwaHii ndo comment yako halafu unaniambia unajua ngumi kwahiyo mimi niliandika utumbo?
Anyway, Ruiz ana ngumi nzito kumzidi AJ, AJ ana weak chin na pumzi hana.
Pambano la AJ na Klitschiko lilithibitisha juu ya chin na pumzi ya AJ. Kama atafanyia kazi pumzi kisha akaachana na 'Attack the trunk and the tree will fall' atashinda.
Hii ni unaambiwa 'Don't get crazy and we are home' so AJ kazi ni kwake.
Ruiz mwili wake unamsaidia kuabsorb body shots, ana ngumi nzito na anaweza kuvumilia offensive shots. Kibiashara hana cha kupoteza, kihadhi hana cha kupoteza pia as huyu mtu alichukuliwa ni journeyman na stepping stone kwa AJ (Nafikiri ni sababu pia akataka pesa ndefu kurudiana as he knew after this he is done)
Ruiz akiingia akawa karelax, toying, showboating na kumvuta AJ mpaka raundi ya tano naona akishinda. Unless awe kalipwa more than what we see on paper.
Mimi naamini AJ atashinda, it was just a bad day in the office