Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandikaWilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandikaWilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Sio kwetu gloves zinafuatwa na boxer karume just kidding hahahahaha
Habari zinasema Wilder aliwahi kuahidiwa kitita cha $ 100 Mil na DAZN kwa mapambano mawili na AJ akachomoa eti anataka apewe 50-50 na AJ, kitu ambacho hakiwezekani maana AJ anauza zaidi, hata akipigana na Journeyman anajaza uwanja. Anaona Bora apigane na wazee kina Ortiz mara 2 ambao kwa mapambano yote mawili hata $20 mil haingizi. Ila akiambiwa sahivi apigane na AJ atakubali maana kashaona udhaifu wake, ila mwanzo alikuwa anamnyali kiaina[emoji1][emoji1][emoji1]NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika
Hapana mzee Wilder alitoa siri kipindi fulani ikaonekana AJ side walitoa mahitaji ili pambano litokee Wilder side ikakubali.Wilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Pesa ipoo huko kwa waarabuDah..waarabu wana sifa kishenzi huo ulingo ni balaa!
Sasa ikitokea Ruiz kapigwa na AJ watu wataiingiza hii katika rekodi kua AJ alichukua mkanda kwa bingwa.Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
[emoji38][emoji38]watajisahaulisha Klitschko?Sasa ikitokea Ruiz kapigwa na AJ watu wataiingiza hii katika rekodi kua AJ alichukua mkanda kwa bingwa.
Miaka kadhaa mbele someone will say AJ hakua true champion as ubingwa aliuchukua kwa Ruiz.
Mkuu ulipotelea wapiAJ...apigwe tena tu
Naona AJ anaweza kukubali kupigwa ili asiende kuchezea bomb za wilder.Hiyo dude inayoitwa Wilder sio nzuri kwa afya ya mpinzani.
Jina la AJ ni nene sana kuliko ngumi za AJHalafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
Yule si mtu ni kama chumaNAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika
Sasa mbona kipindi Joshua ametangaza pambano na Ruiz baada ya Bigbaby Miller kuenguliwa ghafla Wilder akatangaza Rematch za Ortiz na Fury na akasema ameshasign hayo mapambano kitu ambacho hakikuwa kweli maana hadi sasa haijawa confirmed kama atapigana na Fury, hiyo yote mradi tu amkwepe AJ maana alipokuwa kwenye mahojiano US AJ aliweka wazi kwamba akimpiga Ruiz kinachofuatia ni match ya Wilder kama atakubali[emoji38][emoji38]Hapana mzee Wilder alitoa siri kipindi fulani ikaonekana AJ side walitoa mahitaji ili pambano litokee Wilder side ikakubali.
Kisha out of nowhere wakasema pambano halipo. Ndiyo AJ akaenda kwa Ruiz halafu Wilder akaenda kwa jamaa nimemsahau jina
Pambano la Juzi Wilder na Ortiz,... ilikuwa dhulma dhidi ya Ortiz. Nashindwa kuelewa marefa wakati mwengine. Au sijui ndio maelekezo kutoka juuWilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Mkuu ulipotelea wapi
KabisaYupo kama Mwakinyo?
Chaneli gani ritarushwa na muda gani?Hakika huu utakuwa ni usiku wa aina yake kwa mashabiki wa masumbwi duniani, kwani tutashuhudia big names kama AJ, RUIZ,WHYTE, POVETKIN (wote hawa ni top ten heavyweight) wakipigana ndani ya usiku mmoja.
AJ mpe heshima yake, ni heavyweight pekee aliyepigana na watabe wengi ukilinganisha na wakubwa wengine. AJ kawapiga Klitschko, Whyte, Parker, Povetkin wote hao ni mabondia wa viwango vya juu (top 10). Fury kapigana na Klitschko na Wilder tu, Wilder kapigana na Ortiz na Fury tu.Kaka nilikuwa na majukumu mazito...so nikajiweka mbali kidoho na jf