Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

What if it was a marketing strategy apigwe ili next fight iwe kubwa zaidi pesa nyingi zaidi?
Lolote linawezekana, boxing is a business nowdays. Ingawa mimi siamini kama AJ anaweza kubali hilo
 
NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika
Habari zinasema Wilder aliwahi kuahidiwa kitita cha $ 100 Mil na DAZN kwa mapambano mawili na AJ akachomoa eti anataka apewe 50-50 na AJ, kitu ambacho hakiwezekani maana AJ anauza zaidi, hata akipigana na Journeyman anajaza uwanja. Anaona Bora apigane na wazee kina Ortiz mara 2 ambao kwa mapambano yote mawili hata $20 mil haingizi. Ila akiambiwa sahivi apigane na AJ atakubali maana kashaona udhaifu wake, ila mwanzo alikuwa anamnyali kiaina[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
Sasa ikitokea Ruiz kapigwa na AJ watu wataiingiza hii katika rekodi kua AJ alichukua mkanda kwa bingwa.

Miaka kadhaa mbele someone will say AJ hakua true champion as ubingwa aliuchukua kwa Ruiz.
 
Sasa ikitokea Ruiz kapigwa na AJ watu wataiingiza hii katika rekodi kua AJ alichukua mkanda kwa bingwa.

Miaka kadhaa mbele someone will say AJ hakua true champion as ubingwa aliuchukua kwa Ruiz.
[emoji38][emoji38]watajisahaulisha Klitschko?
 
Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
Jina la AJ ni nene sana kuliko ngumi za AJ
 
Hapana mzee Wilder alitoa siri kipindi fulani ikaonekana AJ side walitoa mahitaji ili pambano litokee Wilder side ikakubali.

Kisha out of nowhere wakasema pambano halipo. Ndiyo AJ akaenda kwa Ruiz halafu Wilder akaenda kwa jamaa nimemsahau jina
Sasa mbona kipindi Joshua ametangaza pambano na Ruiz baada ya Bigbaby Miller kuenguliwa ghafla Wilder akatangaza Rematch za Ortiz na Fury na akasema ameshasign hayo mapambano kitu ambacho hakikuwa kweli maana hadi sasa haijawa confirmed kama atapigana na Fury, hiyo yote mradi tu amkwepe AJ maana alipokuwa kwenye mahojiano US AJ aliweka wazi kwamba akimpiga Ruiz kinachofuatia ni match ya Wilder kama atakubali[emoji38][emoji38]
 
Mimi nataka Andy Ruiz ashinde tena ili waunify division na Wilder.

Akishinda AJ hawezi katu kukubali kupigana na Wilder jamaa anamkwepa sana 🤨
 
Wilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Pambano la Juzi Wilder na Ortiz,... ilikuwa dhulma dhidi ya Ortiz. Nashindwa kuelewa marefa wakati mwengine. Au sijui ndio maelekezo kutoka juu
 
Pambano la Juzi Wilder na Ortiz,... ilikuwa dhulma dhidi ya Ortiz. Nashindwa kuelewa marefa wakati mwengine. Au sijui ndio maelekezo kutoka juu
Kivipi?
 
Kaka nilikuwa na majukumu mazito...so nikajiweka mbali kidoho na jf
AJ mpe heshima yake, ni heavyweight pekee aliyepigana na watabe wengi ukilinganisha na wakubwa wengine. AJ kawapiga Klitschko, Whyte, Parker, Povetkin wote hao ni mabondia wa viwango vya juu (top 10). Fury kapigana na Klitschko na Wilder tu, Wilder kapigana na Ortiz na Fury tu.
 
Back
Top Bottom