Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Huyu AJ mapema sana anakalishwa
Inategemea na upiganaji wake akataotumia
Ila kiukweli Joshua akiwa karibu n ruiz kumpiga itakuwa ngumu, ila kama Atakuwa naye mbali ataweza mpiga
Joshua Ana mikono mirefu wakiwa karibu kupiga ngumi kwake ni shida mikono haikunjuki
Ila pambano lazima litakuwa gumu kwa wote wawili

Ova
 
Pambano saa Ngapi wakuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…