Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Naona mbongo kashaanza huku ,somebody nasoro
 
M'bongo amezidi kuwa mfupi aisee, yaani anapigwa za masafa marefu
 
Hivi kwenye channel ya Azam 233 haipo kwenye kifurushi changu licha ya mimi kununua kifurushi cha Azam cha 28000?.
 
Ooh M' bongo ameokolewa na refa vinginevyo hali isingekuwa nzuri kwake
 
Hawa DStv vilaza, hawaonyeshi huu mtanange kweli?
 
Mnaohangaika kuulizauliza lipieni Azam mcheki. Channel 123 haina kwere. Ipo clear wadau hatupepesi macho
 
Back
Top Bottom