BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Aisee hivi kwenye App ya Azam wataonyesha kweli mtanange ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AJ...apigwe tena tu
Hata mimi naombea iwe hivyo...
Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
Team Destroyer tupo pamoja.
Right punch yake ni balaa lazima uzime, niliyeona kidogo ampige KO ni Ortiz ila alipigia right moja akalegeaNAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika
Nafikiria kitu kama hicho Maana pamoja na ubora alionao amedefend mkanda wake mare mane au tisa kujithibitisha ni bora angefuata mikanda kwa AJHabari zinasema Wilder aliwahi kuahidiwa kitita cha $ 100 Mil na DAZN kwa mapambano mawili na AJ akachomoa eti anataka apewe 50-50 na AJ, kitu ambacho hakiwezekani maana AJ anauza zaidi, hata akipigana na Journeyman anajaza uwanja. Anaona Bora apigane na wazee kina Ortiz mara 2 ambao kwa mapambano yote mawili hata $20 mil haingizi. Ila akiambiwa sahivi apigane na AJ atakubali maana kashaona udhaifu wake, ila mwanzo alikuwa anamnyali kiaina[emoji1][emoji1][emoji1]
Wakikujibu nishtue. Leo nitadownliad app zote, mpaka niipate ile watakayoonyesha mtanangeWakuu mpambano saa.ngapi??
Angalia hapo.Wakuu mpambano saa.ngapi??
Till this day! hamuwezi AJ! I can betFanbase inamatter maana ngumi ni biashara, Wilder anashindwa kujaza hata uwanja akiwa nyumbani kwake, AJ is a bigger brand though Wilder anatisha zaidi ulingoni
Hahaha, I like that!Kibonge mchicha lazma ale umeme kwa Joshua. Ile ya kwanza ilikuwa planned fight ila hii ya sasa kil mmoja atapata haki yake.
AJ..boxing king
Andy Ruiz...burger king
Unatizama channel gani!? Mbona Fight Sports hapa naona wenge tu!!