Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa



Apigwe tu huyo muingereza mweusi... we are behind Ruiz bila kujali rangi yake
 
Habari zinasema Wilder aliwahi kuahidiwa kitita cha $ 100 Mil na DAZN kwa mapambano mawili na AJ akachomoa eti anataka apewe 50-50 na AJ, kitu ambacho hakiwezekani maana AJ anauza zaidi, hata akipigana na Journeyman anajaza uwanja. Anaona Bora apigane na wazee kina Ortiz mara 2 ambao kwa mapambano yote mawili hata $20 mil haingizi. Ila akiambiwa sahivi apigane na AJ atakubali maana kashaona udhaifu wake, ila mwanzo alikuwa anamnyali kiaina[emoji1][emoji1][emoji1]
Nafikiria kitu kama hicho Maana pamoja na ubora alionao amedefend mkanda wake mare mane au tisa kujithibitisha ni bora angefuata mikanda kwa AJ
 
Wakuu mpambano saa.ngapi??
Angalia hapo.
Screenshot_20191207-192746.jpeg
 
Fanbase inamatter maana ngumi ni biashara, Wilder anashindwa kujaza hata uwanja akiwa nyumbani kwake, AJ is a bigger brand though Wilder anatisha zaidi ulingoni
Till this day! hamuwezi AJ! I can bet
 
Wakuu nawaomba mwenye link ya hili pambano..wengine hatuna ving'amuzi
 
Back
Top Bottom