Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Vibonge tunatamani Ruiz ashinde ili heshima ya mabonge mtaani iongezeke tumedharauliwa sana.
 
Nimeona vibonge vimetoka wanafata wakina nani jamani tupeane updates plz
 
Naomba niulize pambano saa ngap
 
Utakuwa unaongea kuhusu Hasim Rahman mwenye kovu la kudumu kwenye shavu.
 
Povetkin anapewa kazi kweli hapa na Hunter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…