Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Sala zetu jamani kwa mbongo Seleman SIDE [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna link ya kuangalia free online wakuu?
 
Huyu asifanye kama mwenzake.

Ila huyu promoter anaonekana yuko poa. Kwanini Mwakinywo aliachana naye?
 
Kapigwa seleman mpaka chini
 
ha ha huyu mbongo dooh!! sijui wamuokota wapi wakawaacha akina mfume mfume
 
Hivi watanzania tunawezaga nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…