Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Wabongo na michezo duh. Jamaa kapata bahati kubwa sana hapa. Angemchapa jamaa tayari angekuwa bondia mkubwa sana.
 
Nimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.

Vv
 
Dah hawa mabondia wa bongo sijui wanapelekwa huko kufanya nini? Aibu tupu?
 
Back
Top Bottom