Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ngoja tuone uwezo wake Mana kapata bahati kubwa sana
Tayari msiba huu
Wacha tuone Kwanza naona kawekew mashine ya kupumulia Kwanza fastaEbwanaaaaaee dogo kafa
MexicoHuyo dogo mmarekani balaa
Mexico wanapiga ngumi balaaaaaaTayari. Aibu kubwa aid seleman 31 yrs mtanzania anapigwa TKO na dogo wa miaka 18 toka Mexico.