Chali M 'bongo sijui amezirai jamani hadi huruma
Hivi watanzania tunawezaga nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari. Aibu kubwa aid seleman 31 yrs mtanzania anapigwa TKO na dogo wa miaka 18 toka Mexico.
Azam ya Burundi au Tanzania. Maana mimi naangalia kupitia decoder ya azam hapa channel #123 fight
Hawa mapromota wameenda kula pesa tu
Hapana, huyu Promoter ukute kajitolea MwenyeweHuyu promota akirudi nyumbani afu gwe
Kila mmoja anapoingia ulingoni lazima ana game plan yake, at last kapata draw kutoka kwa mkongwe kama Alexander Povetkin.Ila huyu Hunter kama anakumbatia mno,au ndo mbinu ya mchezo
Hahaha, yaani hawa watanzania ni AIBU TUPU
Sasa Boxer anaitwa Selemani Saidi.
Hahaha.
Afu kesho atalalamika Azam Tv wababaishaji
Aisee, yaani unapata fulsa ya kuitangaza nchi kwenye Jukwaa Jipya Kama hili halafu unaokoteza watu wa mtaani kwanda kutuwakilisha nchi katika masumbwi ?Ili uende imabidi ujuane na watu
Hahaha, yaani hawa watanzania ni AIBU TUPU
Sasa Boxer anaitwa Selemani Saidi.
Hahaha.
Aisee yani yeye unaweza kukuta kaweka azam 2