Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Yule Mbongo ni teja hakyamama ...yaani teja la Buza mamaee ..
 
Waacha tuone ngumi Sasa

Lakini bondia aliepigana na. Selemani said kapigana mapambano 7 kashinda 6 kwa KO na 1 point na leo kaongeza jingne KO KWAHYO KAPIGNA 8 MAPAMBANO 7 KO
 
mmatumbi mwenzetu selemani saidi kachapika dakika za mwanzo tu za round ya kwanza.

ila fresh tu, karahisisha mda ili twende kwenye main fight.[emoji16][emoji16]
GIF-191207_235412.gif
 
Ili uende imabidi ujuane na watu
Aisee, yaani unapata fulsa ya kuitangaza nchi kwenye Jukwaa Jipya Kama hili halafu unaokoteza watu wa mtaani kwanda kutuwakilisha nchi katika masumbwi ?
Promota akirudi nchini ni lazima akamatwe na ahojiwe kule ni kuiabisha nchi.
Yule Selemani Saidi sidhani Kama ni Bondia.
 
Promota anazingua. Anapata sehemu kubwa anapeleka wazembe
 
Back
Top Bottom