Inapotea fursa kubwa namna hiyo tena katika world class platform inatakiwa wapelekwe watu wa uhakika, huyu mjomba side katudhalilisha sana, watanzania wote tumeonekana wachovu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mbongo kapigwa KO ya kutisha, haijawahi kutokea! Ile KO unaweza kuitumia kuibia kura kama uko CCM
Azam chanel gani,mbona hawaeleweki
Tupeni update basi, tujue kama tutazika huko huko au tusafirishe
Apingwe nduli ANTHONY JOSHUA
Nia tunayo uwezo tunao na nguvu tunazo
Viva #teamRuiz