Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

ni aibu kwa kwel daaah 1st round tu mjomba chaliiiiii
Inapotea fursa kubwa namna hiyo tena katika world class platform inatakiwa wapelekwe watu wa uhakika, huyu mjomba side katudhalilisha sana, watanzania wote tumeonekana wachovu.
 
Kuna mbongo kapigwa KO ya kutisha, haijawahi kutokea! Ile KO unaweza kuitumia kuibia kura kama uko CCM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwamba AJ anaingia na Fight to Win - Femi Kuti hahaha ngoja alambishwe SAKAFU na TETEMA.
 
Mbona simuoni Dani msangi(promota) na kina ommy dimpoz wakipewa fursa ya kutoa salam ulingoni
 
Apingwe nduli ANTHONY JOSHUA
Nia tunayo uwezo tunao na nguvu tunazo
Viva #teamRuiz
 
Tupeni update basi, tujue kama tutazika huko huko au tusafirishe
 
Mbona hata SABC 3 ya South Africa wanaonyesha mubashara
 
Back
Top Bottom