Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Canelo wanamuonesha sana, kaja kumsapoti mmexico mwenzake
 
Apingwe nduli ANTHONY JOSHUA
Nia tunayo uwezo tunao na nguvu tunazo
Viva #teamRuiz
Leo Ni team vibonge tu mana mnatudharau na vitambi vyetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, huyo bondia anaitwa Selemani Saidi

Kama hajaokotwa Manzese ni tandale nyuma ya msikitini pale.
 
Tangu saa moja niko mbele ya runinga nikifuatilia mpambano wa Anthony Joshua na Andy Ruiz Jr kupitia king'amuzi cha Azam Tv kwenye channel No.123 Fight Sport.Kiukweli nilidhani mpambano kufikia saa mbili ungekuwa umemalizika lakini kutokana na mapambano ya utangulizi kuwa mengi ndio sababu mpambano huu unaosubiriwa na maelfu ya wapenzi wa boxing kuchelewa. Majira ya 0000 hrs mabondia ndio wameingia ulingoni na nyimbo za Taifa zimemalizika hivi punde.Tuendelee kufuatilia
 
Mjomba AJ leo hajakumbuka kuchana nywele kabisa😃
 
Kwnn wamepiga usa na mexico natonal anthem
 
Ruiz ni mmexico lakini ana uraia wa Marekani, na maskani yake ni America
 
Fights of All The Time:

1. The Fight of the Century
2.Rumble in the Jungle
3.Thrilla in Manila
4.Tyson vs Evander
5.The Battle for The Greatness
6.The Clash on the Dunes.
 
AJ kashamchana,[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…