Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Ni team vibonge tu mana mnatudharau na vitambi vyetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Apingwe nduli ANTHONY JOSHUA
Nia tunayo uwezo tunao na nguvu tunazo
Viva #teamRuiz
Mkuu, huyo bondia anaitwa Selemani SaidiAisee, yaani unapata fulsa ya kuitangaza nchi kwenye Jukwaa Jipya Kama hili halafu unaokoteza watu wa mtaani kwanda kutuwakilisha nchi katika masumbwi ?
Promota akirudi nchini ni lazima akamatwe na ahojiwe kule ni kuiabisha nchi.
Yule Selemani Saidi sidhani Kama ni Bondia.
Huyu jamaa kapigwa na mtoto wake[emoji23][emoji23]
Kwanza weka pale as all Chanel's halafu weka Chanel namba 123Azam chanel gani,mbona hawaeleweki
Channel gani mkuu, naangalia Azam sports 1&2 naona soka tu[emoji23][emoji23]wew unatumia azam gani..mbona sisi tunaona live hapo hapo azam
Asante kwa kunishtua, kumbe ni 123[emoji23][emoji23]wew unatumia azam gani..mbona sisi tunaona live hapo hapo azam
Mtoto wa Single Mother anaingia ulingoni