Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Hapa kwa AJ ajitahidi akae mbali na huyo kipipa maana anaonekana kampania sana hasa kutokana na round ya kwanza tu kuona damu,
 
Imekuje huko tupeni update tujue moja.

Tununue maua christmas au mashada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…