hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Kwa kweli
Tyson alikua anapiga ,,hawa Wa siku hizi wanapigàna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tyson alikua anapiga ,,hawa Wa siku hizi wanapigàna
Joshua ndio hvyo muoga na ule urefu wake ingekuwa pouwa keshamaliza Sasa angekuwa anafanyiwa massage na mtoto wa kiarabuKibonge anatafuta KO
Joshua nae anaruka ruka kama digi digi , ila akijichanganya kapotea
YaaaaahKibonge ana ngumi na haogopi
AJ anashika sana TETEMA ana Makonde Mazito sana.Round ya tano.
Pambano halieleweki. Joshua mwoga sana.
Imekuje huko tupeni update tujue moja.
Tununue maua christmas au mashada?
Mpaka sasa Aj anahemea mipiraImekuje huko tupeni update tujue moja.
Tununue maua christmas au mashada?