ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
YesKapiga vikombe vingi vya kichwa kuzidi mpinzani wake?
Hivi kati ya joshua na mwakinyo yupi ni hatari ulingoni
Jamaa ana pumzi sana.Huyu Luiz Mbishi sana aisee
Muuza unga kapigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AJ karuka ruka mwisho kapata matokeo.
Dona?
Joshua alijua kabisa akakaa nae mbali kabisa.Joshua kashashinda kwa point
Ila kibonge nimemkubali ana panch nzito sana na zina kasi ya umeme
AJ karuka ruka mwisho kapata matokeo.
Nilisema haitakua action packed fight.
Haikua fight tamu sana.
Hakuna aliyeangushwa pambano zima. Ila kuna mmoja ameinama inama mno.
Raundi ya 12 Ruiz anamuonyeshea ishara Anthony kua 'Sogea hapa acha kukimbiakimbia'
AJ kaogopa kusimama toe to toe na Ruiz. Ametumia kimo chake kumpa advantage, katika hili pambano ilikua ni better technic wins.
So AJ kashinda kwa point.