Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Pambano halina mvuto kabisa. Joshua anapewa sifa asizokua nazo . Huyu jamaa ni mpuuzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point kulingana na majaji zitaamua mshindi hata droo inawezekanaaKwaiyo kunakuwa na draw endapo ikifika hiyo round na hakuna aliyepigwa?
Au wanaweka tuta
Zitaongezwa round 3 kama hata pigwa mtu, unakinga uso upigwe ngumiTunaingia Tuta au Dk za nyongeza??
Hvi Nyie huyo Mmexico ukimsogelea anaweza muua huyo etiJoshua anaruka ruka tu Hana mpya pambano linakosa mvuto
Ni kweli ila kiukweli Joshua hamna kitu kabisaAJ anachukua kwa points.
Kibonge nux mamaye zakeChi chi chi chibonge chi chi chibonge
Kwa point chache sana na tena usisahau huruma za majajiAJ anashinda
Mexican wana Roho ngumuHome boy kazidiwa to be honest
presha juuLast round
SelemaniHuyo ni JOSHWA au JOSHUA? Maana anapigana kibongo sana