Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Huyu Joshua ashanichefua. Huyu hata akikutana na Mfaume anampasua. Kweli nimeamini anabebwa na Uingereza wake. Maana nilishangaa kwenye forum moja wamarekani weupe wanamsapoti AJ. Hawana time na Mmexico-Mmarekani.
Nimehama upande namspoti chibonge. Kanikera mptuuuuuu na msonyo!
 
Tuliwaambia kuwa yuko overrated..baadhi mkapinga
Huyu Joshua ashanichefua. Huyu hata akikutana na Mfaume anampasua. Kweli nimeamini anabebwa na Uingereza wake. Maana nilishangaa kwenye forum moja wamarekani weupe wanamsapoti AJ. Hawana time na Mmexico-Mmarekani.
Nimehama upande namspoti chibonge. Kanikera mptuuuuuu na msonyo!
 
Pambano bado gumu sana, ila AJ anaishiwa pumzi sana na hii inamcost

Pia anamkimbia sana Andy, hatumii right hand kabisa.
 
Joshua atashinda kwa point tu ila KO asahau.
 
Back
Top Bottom