Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Fighting technics hizo mkuu hasa unapopigana na mtu Kama AR Jr au Mike Tyson, kumbuka Lennox Lewis alivyomkalisha Tyson
Hamna ngumi hapa. Joshua anakimbia tu. Wasimlipe pesa zake.hakupandishwa kwenye ring kwa kazi ya kukimbia ulingoni. Hovyo kabisa.
 
Joshua itakua alipewa ushauri na Maywether
 
Sijui nimeanza kuzeeka
To be honest sijaburudika kabisa yani
Naona watu wanakimbia na kurukaruka tu ulingoni
 
NICHUKUE NAFASI HII KUMPONGEZA RAISI AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA CHAMA CHETU NDUGU MAGUFULI
HAKIKA USHINDI HUU NI ALAMA KUBWA SANA KATIKA UONGOZI WAKE
AMEFANYA KAZI KUBWA MNO NA HATIMAYE KIJANA WETU JOSHUA AMERUDISHA USHINDI NYUMBANI
AIDHA KIPEKEE KABISA NIWAPONGEZE MAJAJI KWA KUIFANYA KAZI YAO KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNO

NI MALIZE KWA KUSEMA MAPAMBANO YOTE KTK AWAMU HII YATAKWENDA NA MOTTO HUU

"HAPA MBIO TU"
 
Halafu kuna kiande humu aliandika uzi eti Mike Tyson alikua overrated.
Mimi ndiyo maana wakati mwingine sifuatilii hii michezo hasa mpira na ndondi. Mambo ya ujanja ujanja tu. Bora riadha haina janja ya nyani. Mpira na ngumi vilishaondoka na wenyewe. Siku hizi ni wasanii tu.
 
Haya njoeni mumchukue mvuta unga wenu lakini sijaridhika kabisa nilitamani apigwe TKO.
 
AJ karuka ruka tu afu ndiyo mbinu eti.?
 
Ndoni zilipoteza mvuto hapa nyuma kdg
baada ya kizazi cha akina
Mike tyson,
Buster Douglas,
lenox Lewis,
Evander Holyfield,
Frank Bruno,
Vitali Klitschko,
Wladimir Klitschko...

Sitaki kuzungumzia enzi za Thrilla in Manila, maana nilikua hata sijafikiliwa..
Ila naona taratibu zikirudisha mvutooo, japo sikuhizi maneno mengi na kupambana pambana kwingi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…