Kiongozi! Siyo pambano la kuuana jombaa!Pambano limekosa msisimko.Nilitegemea kungekua na ngumi za hatari ila imekua kinyume chake.
MCHEZO WA NGUMI HAUFANYIKI NDANI YA SHUKA tunauona live , hizi mambo mnatuambia kila siku hatujui eti kisa ngumi za kichwaMnaomponda AJ kuwa anakimbia hamjui chochote kuhusu mchezo wa ngumi
Kabisa hakuna mshikemshike kama zamani mpaka inashangaza kwakweli yani.Kabisaaaa!
Ni kama kwenye soka tu pia. Eti watu wawili miaka zaidi ya 10 wanabadilishana uanasoka bora. Michezaji haina ubunifu. Na kweye ndondi ni ujanja ujanja wanatuletea habari za mbinu. Tukihoji tunaambiwa hatujui boxing. Watu tunataka ladha bwana.
MCHEZO WA NGUMI HAUFANYIKI NDANI YA SHUKA tunauona live , hizi mambo mnatuambia kila siku hatujui eti kisa ngumi za kichwa
Tuliwezaje kuwashabikia akina MIKE IRON TYSON?
Kweli tulikuwa hatumjui but through that fight imemuweka kwenye map final we knew him.hata sasa thamani yake imepanda , who knew him before ya kupigana na Joshua labda kwa wafuatiliaji Wa ndani sna
Na hiyo ndio tunaita mbinu kwenye mchezo wowote uleJoshua atashinda kwa janja ya kumpapasa jamaa kichwani, ila huyu mbuzi katoriki ninoma ana ngumi za hatari, bila ya kurukaruka joshua angakalishwa
Kiongozi! Umeshawahi kujifunza mchezo wowote wa ngumi?Hakuna utamu wa ngumi inapendeza kupigana kwa ushindani siyo kurukaruka na kushika kila mara mpaka inachukiza mmexico kacheza vyema tena kwa kujiamini bila kurudi nyuma.
Mwenzako anatafuta ushindi arudishe mikanda yake wewe unataka akupe radha ya ndondi kweli?Tumekosa Radha ya ndondi kabisaaaa yaaani
Ushind wa ukweli na moral Ni KO tu mingne hyo mbwbwe tuNilipenda JOSHUA ashinde ila sijaridhika, KO ndio ulikuwa ushindi wa maana hapa, hawa wote kwa Wilder hawavuki round ya 6
Zile zinaitwa mbinu na ufundi!Kinachoharibu ladha ya boxing ni uoga... AJ usiku wa leo alikuwa amejaa uoga..
Amekimbia sana. Hakujiamini kabisaaa
Hapana BuzaMkuu, huyo bondia anaitwa Selemani Saidi
Kama hajaokotwa Manzese ni tandale nyuma ya msikitini pale.
Yule jamaa huwezi kumpiga kwa kumfata. Hata awe Wilder atatia aibu! Yule ni kumshinda kwa mbinu.Kinachoharibu ladha ya boxing ni uoga... AJ usiku wa leo alikuwa amejaa uoga..
Amekimbia sana. Hakujiamini kabisaaa
Hii mbinu akitumia kwa Wilder haitafanya kazi.Yule jamaa huwezi kumpiga kwa kumfata. Hata awe Wilder atatia aibu! Yule ni kumshinda kwa mbinu.
Bora umetambua hilo.Nilipenda JOSHUA ashinde ila sijaridhika, KO ndio ulikuwa ushindi wa maana hapa, hawa wote kwa Wilder hawavuki round ya 6
Angalau wewe unazijua ndondi, naona watu walitaka "ladha" bila kuangalia technics za mchezo. Kuna watu ukiwaendea kichwa kichwa wanakumaliza.Zile zinaitwa mbinu na ufundi!
Unakumbuka pambano la ufunguzi la Mwakinyo yule jamaa aliyepigana na Mfaume? Mfaume ni bondia hatari sana! Cha kwanza anajua ngumi vizuri, pili haogopi anakufuata tu! Tatu ambayo ni hatari zaidi ngumi yake ya mkono wa kushoto ni nzito sana!
Alimpiga kama siyo mtoto basi ni mdogo wa Matumla mpaka fuvu la kichwa likaweka nyufa kwa ngumi yake ya mkono wa kushoto. Matumla mwenyewe alivyoingia gym alisikia jinsi punching bag inavyopigwa alishtuka! Kuangalia ni Mfaume.
Bondia kama Mfaume ukipigana naye utumie mbinu na ufundi. Kichwa kichwa anakumaliza na ataleta madhara makubwa kwenye mwili wako. Ukiangalia pambano la ufunguzi mpinzani aliyepigana na Mfaume alikuwa anamuhama Mfaume upande wa kushoto.
Wapinzani wengine si wa kawaida ukifanya masihara utafia ulingoni.
Wilder hawezi kupigwa na Ruiz , tena atashinda kwa K.O kabisa.Joshua aliinngia kwa tahadhari sana...amepigana kwa technic amekuja hawezi kumpiga kwa KO.
Hata yeye mwenyewe Andy Luiz amekubali kasema mistake zake mwenyeji.
Hata Wilder kama atapigana na Luiz then akawa nae karibu basi Wilder anaweza kupigwa!
Anaitwa Selemani saidiHaya sasa tuongee yetu
Nasikia na sisi tulikua na bondia kapambana leo?
Hiyo ni mifano miwili tofauti.Nadhan Sasa mmeelewa mwakinyo hakubebwa