Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kiongozi! Siyo pambano la kuuana jombaa!Pambano limekosa msisimko.Nilitegemea kungekua na ngumi za hatari ila imekua kinyume chake.
Andy ana ngumi nzito, ana head movement nzuri na mikono yake miyepesi na anarusha ngumi kwa kasi.
Andy ni killer machine. Ukimsogelea anakuua kwa sekunde chache tu!
Kinachotafutwa ni point! Joshua kapigana very good technically.. Ijapokuwa alikuwa anajisahau kwa sekunde kadhaa..
Na boxing ndivyo inavyosema! Mpinzani wa namna hiyo muhame! Ukisimama naye sura kwa sura utafia ulingoni.