Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Wilder IS THE BEST OF ALL..
 
Hakuna utamu wa ngumi inapendeza kupigana kwa ushindani siyo kurukaruka na kushika kila mara mpaka inachukiza mmexico kacheza vyema tena kwa kujiamini bila kurudi nyuma.
hujui boxing wew...
 

Anthony Joshua vs Andy Ruiz Jr 2 Full Fight December 7, 2019
 
Fighting technics hizo mkuu hasa unapopigana na mtu Kama AR Jr au Mike Tyson, kumbuka Lennox Lewis alivyomkalisha Tyson
tatizo la wabongo ni wajuaji wa mdomoni sana,wamekariri boxing ni KO tu,hawajui hata maana ya fighting tekniki
 

Andy Ruiz Jr interrupts Anthony Joshua interview to demand THIRD fight following rematch defeat!
 

Anthony Joshua Immediate Reaction After Decision Win Versus Andy Ruiz Jr in Saudi Arabia
 
Walio wengi humu inaonekana sio wafuatiliaji wa huu mchezo, na kama ni wafuatiliaji basi ni kwa msukumo tu wa humu... Unawezaje kusema Joshua alikuwa anarukaruka tu? Mmeviona vile vitasa vya kichwa alivovipata tetema?
Mchezo uliopita wote tuliona kitu kilicho mcost AJ ni kumsogelea huyu jamaa na watu wengi walilalamika kuwa AJ ana reach kubwa na mwepesi kapigwaje?

Alichofanya leo ni kuyafanyia kazi yale mapungufu yake, yaani;-
~Kumweka mbali mpinzani wake ambaye ni mzuri kwenye "close combat" kuliko yeye,
~Kuitumia mikono yake mirefu kupata pointi muhimu,
~kukwepa asiwekwe kwenye kamba (kitu ambacho hata bondia wetu mwakinyo kilimkost sana),

Hii ikamfanya AJ kuwa mbali na "agressive fights" za Ruiz ambaye alikuwa akimforce awe naye kwenye "close range" kwa vile ana mikono myepesi na ngumi yake ni nzito
Hivo tuache kubeza kile kilchofanywa na AJ, boxer yeyote angefanya hivo. Hata Tyson yule wa ubora wake angefanya hayo ya AJ, na Wilder naye kwa ule uslow wake anaweza kalishwa vizuri tu na Destroyer
 
Hapa ndio nakumbuka maneno ya Tyson Fury akimzungumzia AJ, nanukuu, " AJ is not a boxer, he is just a body builder," AJ hana skills zozote za boxing zaidi ya kushinda kijanja janja
Ulimsikia yule Mcrotia alivyosema alipoulizwa mbona umempiga mwenzako ngumi za kisogoni ,alijibu "This is war......" Kwa hiyo AJ kushinda kijanja ni mbinu za medani (field craft)
 
Nilipenda JOSHUA ashinde ila sijaridhika, KO ndio ulikuwa ushindi wa maana hapa, hawa wote kwa Wilder hawavuki round ya 6
Kumshinda Ruiz inakubidi uwe mvumilivu hadi mwisho ili uje uambukie ushindi wa Points tu. Hakuna short cut ya kumshinda Ruiz zaidi ya uvumilivu ili uvute points
 
Mkuu umewakumbusha point msingi sana hawa vijana
 
Hawaelewi hawa vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…