Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Well said.Kwa usalama wake Anthony joshua asije akathubutu kuomba mech na tyson furry
Friendly advice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said.Kwa usalama wake Anthony joshua asije akathubutu kuomba mech na tyson furry
Friendly advice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AJ anakadiliwa amekimbia km 19.7 usiku wa leo
Well said.Joshua, kazingua tu ingawa kashinda, urefu tu umemsaidia.
Atafia ulingoni kabisaKwa hali hii Joshua kwa Wilder hachomoki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Ndiyo maana tulikipiga KO kingese hicho fucken..wanakibeba
Wilder IS THE BEST OF ALL..Yupo bondia mmoja ni british prospect anaitwa Daniel "Dynamite" Dubois "Triple D"-- Huyo ni hatari sana, Mabondia heavy weight WOTE hapo watakaa, labda atawezana na Yule anayeitwa New MIKE TYSON wa kule Marekani kwa sababu wote ni vijana na future prospects.
Hamuwezi Fury na Wilder na Whyte na Parker na Wengi tuDDD ni Hatari faya.
Atawakalisha wote.
hujui boxing wew...Hakuna utamu wa ngumi inapendeza kupigana kwa ushindani siyo kurukaruka na kushika kila mara mpaka inachukiza mmexico kacheza vyema tena kwa kujiamini bila kurudi nyuma.
tatizo la wabongo ni wajuaji wa mdomoni sana,wamekariri boxing ni KO tu,hawajui hata maana ya fighting teknikiFighting technics hizo mkuu hasa unapopigana na mtu Kama AR Jr au Mike Tyson, kumbuka Lennox Lewis alivyomkalisha Tyson
ule ni.mchezo wa ngumi sio netball braza....easy talk just try once,muulize yule ccm mwenzako aliyewawakilisha huko SaudPambano halina mvuto kabisa. Joshua anapewa sifa asizokua nazo . Huyu jamaa ni mpuuzi tu
Hiyo dude inayoitwa Wilder sio nzuri kwa afya ya mpinzani.
Ulimsikia yule Mcrotia alivyosema alipoulizwa mbona umempiga mwenzako ngumi za kisogoni ,alijibu "This is war......" Kwa hiyo AJ kushinda kijanja ni mbinu za medani (field craft)Hapa ndio nakumbuka maneno ya Tyson Fury akimzungumzia AJ, nanukuu, " AJ is not a boxer, he is just a body builder," AJ hana skills zozote za boxing zaidi ya kushinda kijanja janja
Kumshinda Ruiz inakubidi uwe mvumilivu hadi mwisho ili uje uambukie ushindi wa Points tu. Hakuna short cut ya kumshinda Ruiz zaidi ya uvumilivu ili uvute pointsNilipenda JOSHUA ashinde ila sijaridhika, KO ndio ulikuwa ushindi wa maana hapa, hawa wote kwa Wilder hawavuki round ya 6
Kiongozi! Siyo pambano la kuuana jombaa!
Andy ana ngumi nzito, ana head movement nzuri na mikono yake miyepesi na anarusha ngumi kwa kasi.
Andy ni killer machine. Ukimsogelea anakuua kwa sekunde chache tu!
Kinachotafutwa ni point! Joshua kapigana very good technically.. Ijapokuwa alikuwa anajisahau kwa sekunde kadhaa..
Na boxing ndivyo inavyosema! Mpinzani wa namna hiyo muhame! Ukisimama naye sura kwa sura utafia ulingoni.
Kiongozi! Umeshawahi kujifunza mchezo wowote wa ngumi?
Iwe Karate, Kung fu, Muay Thai au Boxing?
Siyo kila mpinzani unamuingia tu wengine ni hatari watakumaliza!
Inakubidi utumie mbinu na ufundi wa hali ya juu. Ndicho alichokifanya Joshua!
Andy ni killer machine, ukisimama naye ngumi kwa ngumi anakumaliza!