Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Wilder alikuwa anamwogopa AJ kabla hajapigwa na Chibonge
Halafu huyu jamaa naona ana pambwa pambwa sana hv hili pambano lake la mwisho na Ortiz zaidi ya kuotea ile Ko kuna kipi cha maana alikifanya toka round ya kwanza? Kama pambano lingeishia vile Ortiz angeshinda kwa points!
 
Sasa wewe kwa akili yako Tyson Furry na AJ yupi bondia mzuri hapo?
 
Mashabiki wa Andy tutaondoka tarehe ileile kama tulivyopeana taarifa hapo awali
 
Halafu huyu jamaa naona ana pambwa pambwa sana hv hili pambano lake la mwisho na Ortiz zaidi ya kuotea ile Ko kuna kipi cha maana alikifanya toka round ya kwanza? Kama pambano lingeishia vile Ortiz angeshinda kwa points!
Ha ha ha, hata pambano la kwanza mlisema hivyo hivyo kaotea na Ortiz aliamini kweli jamaa amemuotea.

Kaomba pambano la pili mwisho wa siku kapokea tena kichapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha, hata pambano la kwanza mlisema hivyo hivyo kaotea na Ortiz aliamini kweli jamaa amemuotea.

Kaomba pambano la pili mwisho wa siku kapokea tena kichapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unamfahamu ortizi?wana masumbwi wengi wanamkimbia ila Wilder kapigana nae mara mbili na zote kashinda kwa KO.huyo AJ hamwezi Ortiz wala fury.kwanza ata huyu Andy Ruiz junia hamwezi maana anakalishwa tena
 
Sasa wewe kwa akili yako Tyson Furry na AJ yupi bondia mzuri hapo?
Mwanzoni Wilder alitaka kupigana na Fury kwavile alifikiri ameisha, kutokana na alikuwa ametoka kwenye uathirika wa madawa ya kulevya na alikuwa hajapigana mda mrefu, alichokutana nacho baada ya kupigana naye ni tofauti kabisa. Fury ni bondia bora kuliko wote wa heavyweight in terms of skills n' technics, but he lacks power
 
Halafu huyu jamaa naona ana pambwa pambwa sana hv hili pambano lake la mwisho na Ortiz zaidi ya kuotea ile Ko kuna kipi cha maana alikifanya toka round ya kwanza? Kama pambano lingeishia vile Ortiz angeshinda kwa points!
Wilder have nothing abt boxing skills, he need only 1punch to win fight
 
Utabiri wa wataalamu mbalimbali
 
Nimesikia kwenye kipindi cha michezo AJ kalipwa Dola milioni 85 wakati LUIZ dola milion 13
Mapambano atayapata, unajua jina lake linauza kuliko bondia yoyote (ukiondoa Canelo), sema thamani yake na legacy itakuwa imeshuka sana. Kila bondia Heavyweight anatamani apigane na AJ ndipo kwenye hela kwa sasa
 
Hapa UK wataanza na mapambano mengineo mida ya 5.00pm na "Clash on the Dunes" inategemewa kuwa at 10.00pm ambapo nafikiri huko nyumbani itakuwa jumapili alfajiri ya saa 11 tarehe 8/12/2019
Umechanganya mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…