mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Ruiz kama atafika mpaka 7-8 rounds atashinda ila sioni kwa yeye kufika hizo rounds, what im tel u Joshua anaitaka mikanda yake kwa namna yeyote ileNi kweli ulivyosema na ukiangalia kwa namna fulani AJ anacheza akiwa ameweka akiba la kono la kulia ili kumaliza mchezo saa yoyote pale akipata mpenyo yaani sawa tu na Wilder anavyofanya, sasa mhuni Ruiz yeye hatari hiyo anaijua vyema na anachokifanya ni kumweka busy all the time kwa kuwa karibu yake ili ku destruct plan zake na pakitokea chance ndipo anampa za masikioni mpaka centre of gravity inapotea, napenda sana AJ ashinde ingawa ni kama Ngamia kupita kwenye tundu la sindano