mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Ruiz kama atafika mpaka 7-8 rounds atashinda ila sioni kwa yeye kufika hizo rounds, what im tel u Joshua anaitaka mikanda yake kwa namna yeyote ileNi kweli ulivyosema na ukiangalia kwa namna fulani AJ anacheza akiwa ameweka akiba la kono la kulia ili kumaliza mchezo saa yoyote pale akipata mpenyo yaani sawa tu na Wilder anavyofanya, sasa mhuni Ruiz yeye hatari hiyo anaijua vyema na anachokifanya ni kumweka busy all the time kwa kuwa karibu yake ili ku destruct plan zake na pakitokea chance ndipo anampa za masikioni mpaka centre of gravity inapotea, napenda sana AJ ashinde ingawa ni kama Ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Ruiz kama atafika mpaka 7-8 rounds atashinda ila sioni kwa yeye kufika hizo rounds, what im tel u Joshua anaitaka mikanda yake kwa namna yeyote ile
Saudia wametoa mzigo mkubwa ndio maana limepelekwa uko, boxing mchezo wa wazi only strong survive, kuondoa figisu yapaswa kushinda kwa KOHalafu tusisahau kuwa michezo mikubwa namna hii huwa haikosi figisu figisu za ndani nasema hivyo kwa sababu mchezo kupelekwa Saudi Arabia ndani yake kuna siasa na siasa hizo hizo ndizo zinaweza kutuletea mshindi wa clash on the dunes
Siku ya kesho nimeitoa kwa ajili ya burudani tu, na jumapili itakuwa siku ya kulala. Baada ya ushindi wa Man U, nitahamia kumshabikia AJ arudishe mikanda yetu nikisindikizwa na Balimi, sijui kama Bar hawatatufukuza[emoji3][emoji3]Kesho Mpira wa mwisho EPL itakuwa ni Man City na Man United utakaoanza 20.30 na kuisha around 22.00 na undercard wanategemewa kuanza saa 5 au 6 usiku endapo utaangalia TV kubwa kubwa, je kesho kuna kulala?
Kwanini unasema ataingia na matokeo wakati ametoka kupoteza first fight?Nilichojifunza kwenye boxing, ni kwamba sio kurusha rusha ngumi kama unacheza ngoma, unaweza rusha ngumi chache zenye point na ukashinda, bwana bonge ruiz kutoka mexico, ni mjanja sana nimecheki clip zake za mazoezi pamoja a interview zake jamaa anajijua aki fight kwa kukamia atawi kuchoka na kumpa nafasi AJ ushindi mrahisi, kwa upande wa bwamdogo AJ yeye kitakachomgharimu ni kuigia uwanjani na matokeo hilo tuu, kwa upande wangu natamani Ruiz ashinde hili pambano
AJ arudishe mikanda yake aisee, hii mikanda ikikaa kwa Ruiz akyanani Wilder ataichukua kiurahisi sana[emoji3][emoji3][emoji3]Ruiz kama atafika mpaka 7-8 rounds atashinda ila sioni kwa yeye kufika hizo rounds, what im tel u Joshua anaitaka mikanda yake kwa namna yeyote ile
Kwa mida ya kibongo nadhani itakuwa kuanzia saa1 (mapambano ya undercard)
Duh mpaka TB joshua[emoji2][emoji2][emoji2]Huyu TB JOSHUA ni sawasawa na MWAKINYO tuu. akishindwa K.O raundi za mwanzo anaishiwa pumzi kabisa hadi unamwonea huruma
Chief km umeelewa hii ni mbinu ya Saudi Arabia kukuza soko la utalii, mh hamisi Kingwangala ana cha kujifunza
Hili nalo neno!!What if it was a marketing strategy apigwe ili next fight iwe kubwa zaidi pesa nyingi zaidi?
Aj atapigwa tuWhat if it was a marketing strategy apigwe ili next fight iwe kubwa zaidi pesa nyingi zaidi?
Yes ni kweliJina la AJ ni nene sana kuliko ngumi za AJ
Naomba timu Chibonge Andy Ruiz tutambuane na kufahamiana.Nipo pamoja na Andy Ruiz
Huu ni mwaka wa wenye six pack kuhaibika
Mimi naamini AJ atashinda, it was just a bad day in the office
Azam wataonesha