Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huyu Hunter anakula.bangi sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povetkin anapewa kazi kweli hapa na Hunter.
Sijakataa ndugu, nimesema kapigwa! Sijaongeza nenoHahaah..mshukuruni walau kaitangaza nchi
AJ [emoji123]Yamebaki masaa machache tushuhudie lile pambano litakalosimamisha dunia kwa dakika kadhaa lililopewa jina CLASH ON THE DUNES ambapo litafanyika Saudi Arabia.
Pambano hili limekuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa ndondi duniani, hii ni baada ya AJ aliyekuwa bingwa na kipenzi cha watu kupigwa pambano la kwanza lililofanyika June 1 kitu ambacho wengi hawakuwaza, na pambano hilo kuwekwa katika kumbukumbu ya one of the biggest boxing upsets of all time. Je AJ ataweza kurejesha mikanda yake aliyopoteza? Tusubiri Jmosi.
Nadhani mshindi wa pambano hili atapangwa na mwakinyo mwezi ujaoYupo kama Mwakinyo?
Huyu Hunter anaenda kupigwa KO
Huyu Hunter anaenda kupigwa KO
Kama predator [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwamba anaingia kwa mbwembwe saiz
Kabisa yaaanHuyu Hunter anaenda kupigwa KO
Hili pambano la Povetkin na Hunter linaboa, full kukumbatiana
Yes it wasWhat if it was a marketing strategy apigwe ili next fight iwe kubwa zaidi pesa nyingi zaidi?