Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Round ya kwanza.
AJ kamchana andy juu ya jicho.

Sema AJ mwoga sana. Hili pamvano alirakiwa ashambulie mapema
 
Hajafa bana! Kaka Mkubwa hizo rambi rambi kuleni tu
Hahahaa bora bana watu tulijidunduliza vibuku buku vyetu kwa ajili ya xmas sasa hili pambano ni kama linania ya kuvuruga bajeti
 
Huyu Ruiz keshachanwa na damu zinatoka, hawezi kuchomoka tena. Natabiri Ruiz atapigwa KO na ataomba marudiano ili bingwa ajulikane.

Vv
 
Aisee, yaani unapata fulsa ya kuitangaza nchi kwenye Jukwaa Jipya Kama hili halafu unaokoteza watu wa mtaani kwanda kutuwakilisha nchi katika masumbwi ?
Promota akirudi nchini ni lazima akamatwe na ahojiwe kule ni kuiabisha nchi.
Yule Selemani Saidi sidhani Kama ni Bondia.
Huyu Promota ndiye aliyemtangaza Mwakinyowakati ule wa ushindi wa kwanza km mtakumbuka ndiye aliye-kalimani yale mahojiano ya ushindi kwa Mwakinyo
hapo kwa Said Selemani kweli katuabiasha bora angemchukua Kiduku au Mfaume-Mfaume wa Manzese.
yaani hapo wamekula pesa tu, naunga mkono huyu ni Dalali ahoiwe
ngoja tangalie pambano la Joshua yupo raund ya 3
 
Second round
Joshua amepata. Kapiga kama mbili hivi za maana.

Ruiz sijaona chochote toka kwake
 
Mhh pambano gumu manina
Kibonge mbishi. Huyu kibonge inabidi AJ awe mjanja mjanja akisema aende naye open game atapigwa tena arrggghhh 😬😬😬
 
Pambano vipi wazee?. Nilisema AJ atawin. Niaje huko?
 
Hahahaa bora bana watu tulijidunduliza vibuku buku vyetu kwa ajili ya xmas sasa hili pambano ni kama linania ya kuvuruga bajeti
Uko bar unagonga mvinyo Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huku pambano la endelea
 
Round ya 3.
Haijarushwa ngumi hata moja. Hili pambano linakwwnda kuwa bovu. Joshua anakimbia tu ulingoni
 
Back
Top Bottom