Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu naombeni link ya kuangalia hilo pambano please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji tuonane man to man show za maana tuone combination,tuone defense,tuone na power Sasa vyote leo hakunaHvi Nyie mlitaka AJ afe uwanjani!??
Msingi mbinu tu
dah !! Ah ahaha umenivunja mbavu mwamba dahAJ anakadiliwa amekimbia km 19.7 usiku wa leo
Nasikia AJ anaomba pambano WILDER?[emoji2960][emoji2960]Haya njoeni mumchukue mvuta unga wenu lakini sijaridhika kabisa nilitamani apigwe TKO.
Yule mmoja kachapa chuma ikamkaa sawa sawa..Wale wafupi naweusi wa CCM nadhani washafukuzwa saudia
Nani kashindaPambano limekosa msisimko.Nilitegemea kungekua na ngumi za hatari ila imekua kinyume chake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]AJ atakufa round ya kwanza tuNasikia AJ anaomba pambano WILDER?[emoji2960][emoji2960]
Hiyo fight itakuwa poa kinoma maana kila siku wanakwepana tu mm nilichokisikia kuwa Andy kama angeshinda ndio angepambana na Wilder.Nasikia AJ anaomba pambano WILDER?[emoji2960][emoji2960]
Da nimecheka sana ilani ya chamaYule mmoja kachapa chuma ikamkaa sawa sawa..
Nadhali alikumbuka mpaka ilani ya chama
hata angeshinda bado angechukua pesa ndogo kwa zile ambazo angelibeba Joshua , vitu Kama hivi vina shusha moraliHaya njoeni mumchukue mvuta unga wenu lakini sijaridhika kabisa nilitamani apigwe TKO.
Yule mmoja kachapa chuma ikamkaa sawa sawa..
Nadhali alikumbuka mpaka ilani ya chama
atauwawa huyo joshwa sijui Joshua wenuHiyo fight itakuwa poa kinoma maana kila siku wanakwepana tu mm nilichokisikia kuwa Andy kama angeshinda ndio angepambana na Wilder.
Joshua itakua alipewa ushauri na Maywether