Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
!
!
Anthon Joshua anaishi kwenye kipindi ngumi za uzito wa juu hakuna wakali. Sidhani kama angetoboa kipindi cha akina Lenox Lewis
Hivi unajua Lenox Lewis alipigwa na Oliver Mc Call na Rasim Rahman ambao hawakuwa maarufu kwenye ngumi?
Huyo Lennox mapambano yote mawili aliyopigwa ilikuwa ni one punch KO!!!
!
Nadhani unakumbuka kilichotokea kwenye pambano la marudio na Rahman.
Kwa Vitali aliponea chupuchupu huyu bondia wako alikuwa very defensive na mviziaji tu!!
!
Anthon Joshua anaishi kwenye kipindi ngumi za uzito wa juu hakuna wakali. Sidhani kama angetoboa kipindi cha akina Lenox Lewis
Tusubiri na tuone ila mi kwenye hili nampa AJ the guy ana discipline.Huyo Lennox mapambano yote mawili aliyopigwa ilikuwa ni one punch KO!!
Marudio na Oliver Mc Call unayakumbuka? Unajua nani aligeuka chizi baada ya vinu kumkolea?Hivi unajua Lenox Lewis alipigwa na Oliver Mc Call na Rasim Rahman ambao hawakuwa maarufu kwenye ngumi?
Hahahaha huo uviziaji na defensive ndiyo ulisababisha George Foreman aokoke siku alipokutana na Jimmy Young, na Foreman alikua very accomplished boxer ila usiku ule akaamua kuokoka.Kwa Vitali aliponea chupuchupu huyu bondia wako alikuwa very defensive na mviziaji tu!
Yeah he's a nice guyTusubiri na tuone ila mi kwenye hili nampa AJ the guy ana discipline.
Kwa Vitali aliponea chupuchupu huyu bondia wako alikuwa very defensive na mviziaji tu!
Nakataa hakuponea chupuchupu. Lile ni moja kati ya mapambano makali kuwahi kutokea kwa kipindi hiki. Kila mmoja alipigana vizuri na mshindi alistahili.Kwa Vitali aliponea chupuchupu huyu bondia wako alikuwa very defensive na mviziaji tu!
Marudio na Oliver Mc Call unayakumbuka? Unajua nani aligeuka chizi baada ya vinu kumkolea?
Rahman alishinda pambano la kwanza Lewis alikua anajiamini mno hata Rahman kushinda ilikua confidence imemponza Lewis alikua anamfuata tu jamaa anamtegea ampe punch left jab.
Pambano la pili unalikumbuka?
Kaangalie tena hilo pambano halafu uniambie kama Lewis alipigana comfortably!!!Nakataa hakuponea chupuchupu. Lile ni moja kati ya mapambano makali kuwahi kutokea kwa kipindi hiki. Kila mmoja alipigana vizuri na mshindi alistahili.
Glass chin?Your Lennox had a glass chin! Pamoja na kupoteza mapambano mawili tu bado anazidiwa umaarufu na mabondia waliopoteza 5+ kwa sababu ya style yake ya kupigana.
Hata Mywether kila siku anashinda kwa staili yake hiyo hiyo ya kupaki basiHahahaha huo uviziaji na defensive ndiyo ulisababisha George Foreman aokoke siku alipokutana na Jimmy Young, na Foreman alikua very accomplished boxer ila usiku ule akaamua kuokoka.
Hapo unamzungumzia bondia ambaye Tyson akiwa kwenye kilele chake aliambiwa apigane naye akajibu kwa ukali "Nenda ukapigane naye wewe"