Kwa Joshua, Packer anachezea vizuri tuHaya nyie mchukulieni poa tu Parker. Time will tell
Umeongea bonge la poit mkuu huyu dogo watu wengi wanamchukulia kawaida tu lakini ana hatari yakeHili pambano litakua gumu sana, japokua wengi wanampa nafasi AJ ya kushinda kutokana na historian yake lakini huyu Joseph Parker ana Stamina na speed Kali kwa hiyo tusije shangaa anamharibu na kumchafua chafua.
Nadhani ndio pambano litakalofuata hahaha wilder ana maneno mengi alafu tatizo lake anarusha ngumi hovyo hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]Josh akimalizana na huyo azichape Deontay Wilder amalize ubishi.
Pambano ni saa ngapi kwa masaa ya bongo?
No official ring-walk information has been provided as of yet but it is expected that Joshua and Parker will take to the ring no later than 10:30pm but perhaps earlier.(quoted from the telegraph)Maajabu, mleta mada tenda haki kwetu
Tarehe ngapi
SAA ngapi EAT
Ili taarifa iwenamanufaa kwetu