Hanitoni
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,146
- 990
Hahaha tuliaMbona refa kaingilia kati wakati joshua anapigwa
View attachment 730922
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tuliaMbona refa kaingilia kati wakati joshua anapigwa
View attachment 730922
Niko upande wa AJ lakini nashangaa agenda gani anazo refaHahaha tulia
Unamaana gani mkuu?AJ by unanimous decision.
Joseph Parker was good but he is so short na nguvu hazina nguvu.
Jamaa anapiga jab punch nzito hatari na hizo ndo zilizommaliza mzungu.Yah hii gemu inachangamoto zake!!
1/ Wote ni damu changa kila mtu anataka kucreate his own legacy ivyo kutakua na ushindani
2/wote wawili hawajapoteza mchezo ata mmoja ingawa AJ ameshinda yote kwa KO
3/ in case of best puncher!! AJ is the best heavyweight puncher maana ile right punch yake ndo ngumi yake ya ushindi hii ikiwa ni baada ya hi famous punc combination ONE TWO!! ( starting with the jab punch followed by heavy right punch)
4/Pumzi yeyote atakae wahi ku runout of gas atakua katika great risk ya kupoteza mchezo!
Finally kwa sisi wanichezo wengi tunampa nafasi AJ ya ushindi lakini hauotokua ushindi rahisi
Ahsante sana mdau!umetisha
Joseph Parker ana speed ila ngumi zake zilikuwa ni nyepesi na hazifiki sababu ya ufupi.Unamaana gani mkuu?
AJ kamcontain mapema kabisa Parker, yuko na speed sawa na pia ni aggressive lakini vyote hivyo bila techniques za ushindi ni bure...AJ alilijua hilo na ndo sababu akawa anatumia jabs.Joseph Parker ana speed ila ngumi zake zilikuwa ni nyepesi na hazifiki sababu ya ufupi.
Mtanange kati ya Joshua na Wilder utapendeza kwa sababu wote ni warefu.